Ufafanuzi wa gangiri katika Kiswahili

gangiri

nominoPlural gangiri

  • 1

    kitambaa chepesi chenye matundu madogomadogo.

Matamshi

gangiri

/gangiri/