Ufafanuzi wa gangua katika Kiswahili

gangua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~lisha, ~liwa

  • 1

    ondoa uchawi kutoka kwa mtu au kitu kilichorogwa.

  • 2

    agua, opoa, topoa

Matamshi

gangua

/ganguwa/