Ufafanuzi wa ganuni katika Kiswahili

ganuni

nominoPlural ganuni

  • 1

    ala ya muziki kwenye bao lenye nyuzi k.v. 78 zilizotandazwa kwa mlalo na kuchezwa kwa kutikiswa na vidole au vidole na vinyakuo.

    zitha

Asili

Kar

Matamshi

ganuni

/ganuni/