Nyumbani Kiswahili gaogao
samaki mwenye umbo bapa, lisilo na ulinganifu, macho yote mawili upande mmoja wa kichwa, rangi nyeupe tumboni na ya kijivu mgongoni.