Ufafanuzi wa gari katika Kiswahili

gari

nominoPlural magari

  • 1

    chombo cha kusafiria kiendacho kwa magurudumu.

    ‘Enda kwa gari’
    ‘Endesha gari’
    ‘Gari la ng’ombe’

Asili

Khi

Matamshi

gari

/gari/