Ufafanuzi wa gasketi katika Kiswahili

gasketi

nomino

  • 1

    kifaa bapa kinachotengenezwa kwa mpira, plastiki au metali kinachopachikwa katika bomba au mashine kuzuia maji, mafuta au mvuke kupenya.

Asili

Kng

Matamshi

gasketi

/gaskɛti/