Ufafanuzi msingi wa gatuzi katika Kiswahili

: gatuzi1gatuzi2

gatuzi1

nominoPlural magatuzi

  • 1

    eneo la utawala lenye kufuata mfumo wa uhawilishaji wa madaraka na ugavi wa matumizi ya rasilimali kutoka serikali kuu kwenda kwa serikali ndogo, lenye kuongozwa na gavana.

    kaunti, jimbo

Matamshi

gatuzi

/gatuzi/

Ufafanuzi msingi wa gatuzi katika Kiswahili

: gatuzi1gatuzi2

gatuzi2

nominoPlural magatuzi

  • 1

    tawi la kisiasa na utawala la serikali, linalotoa baadhi ya huduma za serikali ya mitaa, majimbo au serikali ndogo.

Matamshi

gatuzi

/gatuzi/