Ufafanuzi wa gavana katika Kiswahili

gavana

nomino

  • 1

    mwakilishi wa mfalme au malkia katika koloni.

  • 2

    mkuu wa jimbo au gatuzi.

  • 3

    kiongozi mkuu wa Benki Kuu ya nchi.

Asili

Kng

Matamshi

gavana

/gavana/