Ufafanuzi wa gawadia katika Kiswahili

gawadia, kuwadia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~sha, ~wa

  • 1

    tongozea mtu mwanamke au mwanamume; fanya ugawadi.

    kuwadia

Asili

Kar

Matamshi

gawadia

/gawadija/