Ufafanuzi wa gawanyika katika Kiswahili

gawanyika

kitenzi sielekezi

  • 1

    tengana na kuwa katika sehemu au makundi tofauti.

    ‘Misamaha ya kodi ililifanya Baraza la Mawaziri kugawanyika’

Matamshi

gawanyika

/gawaɲika/