Ufafanuzi wa gegedua katika Kiswahili

gegedua

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~liwa

  • 1

    tafuna kitu kigumu kwa nguvu kama vile mfupa au kweme.

Matamshi

gegedua

/gɛgɛduwa/