Ufafanuzi wa gegenu katika Kiswahili

gegenu

nominoPlural magegenu

  • 1

    mchwa mkubwa mwenye kichwa chekundu na mkali.

Matamshi

gegenu

/gɛgɛnu/