Ufafanuzi wa gegereka katika Kiswahili

gegereka

nomino

  • 1

    kiumbe wa baharini asiye na umbo la samaki k.v. kaa, chaza au pweza.

Matamshi

gegereka

/gɛgɛrɛka/