Ufafanuzi wa geji katika Kiswahili

geji

nominoPlural geji

  • 1

    kipimo cha unene wa kitu kama vile bati.

    ‘Kiwanda kinatengeneza mabati ya geji 26 hadi 32’

  • 2

    kipimo cha ujazo wa kimiminika.

Asili

Kng

Matamshi

geji

/gɛʄi/