Ufafanuzi msingi wa gema katika Kiswahili

: gema1gema2gema3

gema1

nomino

Matamshi

gema

/gɛma/

Ufafanuzi msingi wa gema katika Kiswahili

: gema1gema2gema3

gema2

nomino

  • 1

    mteremko mkali, agh. katika kingo za mto.

    poromoko, korongo, genge

Matamshi

gema

/gɛma/

Ufafanuzi msingi wa gema katika Kiswahili

: gema1gema2gema3

gema3

kitenzi elekezi

  • 1

    chanja au kata tunda au magome ya mti ili kupata utomvu au maji.

Matamshi

gema

/gɛma/