Ufafanuzi msingi wa gesi katika Kiswahili

: gesi1gesi2

gesi1

nominoPlural gesi

  • 1

    hewa ambayo haigeuki na kuwa majimaji katika joto la kawaida.

Matamshi

gesi

/gɛsi/

Ufafanuzi msingi wa gesi katika Kiswahili

: gesi1gesi2

gesi2

nominoPlural gesi

  • 1

    kitu kama mvuke mwembamba ambao huwaka na hutumiwa k.v. kupikia.

Asili

Kng

Matamshi

gesi

/gɛsi/