Ufafanuzi wa geuza katika Kiswahili

geuza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  badili kitu kiwe katika hali au umbo jingine.

 • 2

  betua uso.

 • 3

  fanya upande uliokuwa chini uwe juu au uliokuwa mbele uelekee nyuma.

  ‘Geuza chapati’
  badilisha, binua

Matamshi

geuza

/gɛwuza/