Ufafanuzi wa ghafilika katika Kiswahili

ghafilika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kosa kukumbuka.

    sahau, pitiwa

Asili

Kar

Matamshi

ghafilika

/Éšafilika/