Ufafanuzi wa gharama katika Kiswahili

gharama

nomino

  • 1

    kinachotolewa, hasa pesa, ili kulipia vitu, huduma, n.k..

    harija

  • 2

    matumizi makubwa ya pesa.

    ‘Maisha ya mjini yana gharama’

Asili

Kar

Matamshi

gharama

/Éšarama/