Ufafanuzi wa gharimu katika Kiswahili

gharimu

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na thamani ya; hitaji malipo kiasi fulani.

Asili

Kar

Matamshi

gharimu

/Éšarimu/