Ufafanuzi wa ghasia katika Kiswahili

ghasia

nominoPlural ghasia

  • 1

    hali ya kutokuwako utulivu.

    fujo, gubu, kimondo, chachawizo, machafuko, tandabelua, sokomoko, rangaito, tenge, ngenga, mtafaruku, matata, kivangaito, kindumbwendumbwe, vurugu, vurumai, varanga, ugomvi, kishindo, kelele, mzozo, tafrani, zogo, bugu, hekaheka

  • 2

    hali inayosumbua na kutokuwepo kwa utulivu.

Asili

Kar

Matamshi

ghasia

/ɚasija/