Ufafanuzi wa ghaya katika Kiswahili

ghaya

kielezi

  • 1

    mwisho kabisa wa jambo au hali.

    upeo

Asili

Kar

Matamshi

ghaya

/ɚaja/