Ufafanuzi wa ghibu katika Kiswahili

ghibu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ondoka machoni.

    potea, toweka, adimika

Asili

Kar

Matamshi

ghibu

/ɚibu/