Ufafanuzi wa ghilibu katika Kiswahili

ghilibu

kitenzi elekezi

  • 1

    pata kwa hila.

    ujanja, danganya, nyenga, denda, laghai

Asili

Kar

Matamshi

ghilibu

/Éšilibu/