Ufafanuzi wa ghumiwa katika Kiswahili

ghumiwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    poteza au potewa na fahamu.

    zimia, zirai

  • 2

    pigwa na butaa.

    shangaa

Asili

Kar

Matamshi

ghumiwa

/ɚumiwa/