Ufafanuzi wa ghuna katika Kiswahili

ghuna

nominoPlural ghuna

  • 1

    Sarufi
    hali ya utamkaji wa sauti kwa mrindimo wa nyuzisauti.

  • 2

    sifa ya sauti ambayo wakati wa kutamkwa kwake huwa kuna mrindimo au kutikisika kwa nyuzisauti au kusikika mngurumo kwenye masikio.

    ‘Aina za sauti ghuna ni kama vile vipasuo, vizuiakwamizo, vikwamizo, vitambaza, vimadende, ving’ong’o na viyeyusho’

Asili

Kar

Matamshi

ghuna

/ɚuna/