Ufafanuzi msingi wa gidamu katika Kiswahili

: gidamu1gidamu2

gidamu1

nominoPlural gidamu

  • 1

    kipande cha ngozi cha viatu, hasa makubadhi, kinachopita baina ya kidole gumba na cha pili yake.

  • 2

    kamba za viatu.

Asili

Kar

Matamshi

gidamu

/gidamu/

Ufafanuzi msingi wa gidamu katika Kiswahili

: gidamu1gidamu2

gidamu2

nominoPlural gidamu

  • 1

    sehemu ya mbele ya jahazi.

Asili

Kar

Matamshi

gidamu

/gidamu/