Ufafanuzi wa giligili katika Kiswahili

giligili

nomino

  • 1

    kiowevu kizito kinachoteleza k.v. ute au gole.

Matamshi

giligili

/giligili/