Ufafanuzi wa gingi katika Kiswahili

gingi

nomino

  • 1

    kipande cha mti au chuma ambacho hutumika kushikilia na kukaza kamba kwenye chombo cha majini.

Matamshi

gingi

/gingi/