Ufafanuzi wa ginginizo katika Kiswahili

ginginizo, ging’izo

nominoPlural maginginizo

  • 1

    tendo la kumfanyia mtu jambo asilolipenda kwa kulirudiarudia ili kumuudhi.

Matamshi

ginginizo

/ginginizɔ/