Ufafanuzi wa gitaa katika Kiswahili

gitaa, gita

nominoPlural magitaa

  • 1

    ala ya muziki ambayo agh. huwa na nyuzi sita na hupigwa kwa vidole.

    ‘Muziki wa gitaa’

Asili

Kng

Matamshi

gitaa

/gita:/