Ufafanuzi wa giza katika Kiswahili

giza, kiza

nominoPlural giza

  • 1

    pasipo mwangaza.

    ‘Tia giza’

  • 2

    hali ya kutojua kitu fulani.

    ujinga

Matamshi

giza

/giza/