Ufafanuzi msingi wa globu katika Kiswahili

: globu1globu2

globu1

nominoPlural globu

  • 1

    kielelezo cha dunia chenye umbo kama tufe au mpira kinachoonyesha k.v. nchi, mito, bahari, miji, barabara, n.k. katika sura yake.

Asili

Kng

Matamshi

globu

/glɔbu/

Ufafanuzi msingi wa globu katika Kiswahili

: globu1globu2

globu2

nominoPlural globu

Asili

Kng

Matamshi

globu

/glɔbu/