Ufafanuzi wa glopu katika Kiswahili

glopu

nomino

  • 1

    kitufe kidogo chenye umbo la mviringo mfano wa yai kilichotengenezwa kwa kioo ili kutolea mwanga wa umeme.

    balbu

Asili

Kng

Matamshi

glopu

/glɔpu/