Ufafanuzi wa glovu katika Kiswahili

glovu, glavu

nominoPlural glovu

  • 1

    kitu kama soksi kinachovaliwa mkononi ambacho hutengenezwa kwa mpira, ngozi au kitambaa na kwa kawaida huwa na nafasi kwa kila kidole.

Asili

Kng

Matamshi

glovu

/glɔvu/