Ufafanuzi wa glukojeni katika Kiswahili

glukojeni

nominoPlural glukojeni

  • 1

    glukozi iliyokwisha kubadilishwa kikemikali na ini na kuhifadhiwa humo mpaka itakapohitajika kutumiwa kama nishati mwilini.

Asili

Kng

Matamshi

glukojeni

/glukoʄɛni/