Ufafanuzi wa gobori katika Kiswahili

gobori

nominoPlural magobori

  • 1

    bunduki ya kushindilia baruti.

    korofindo

Matamshi

gobori

/gɔbɔri/