Ufafanuzi wa gofua katika Kiswahili

gofua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya dhaifu.

    ‘Maradhi yamemgofua’
    kondesha

Matamshi

gofua

/gɔfuwa/