Ufafanuzi wa gogi katika Kiswahili

gogi

nomino

  • 1

    tabia ya kujivuna.

    ndweo, maringo, majivuno, matuko

Matamshi

gogi

/gɔgi/