Ufafanuzi wa gogomoa katika Kiswahili

gogomoa

kitenzi elekezi~lea, ~leka, ~lewa

  • 1

    sukutua maji kuondoa mabaki ya chakula kinywani.

Matamshi

gogomoa

/gɔgɔmɔwa/