Ufafanuzi msingi wa gogoo katika Kiswahili

: gogoo1gogoo2

gogoo1

nominoPlural magogoo

 • 1

  pingu za vikuku vya miti.

  gandalo, mkatale

 • 2

  mnyororo wa miti.

 • 3

  namna ya kufunga watu kama walivyokuwa wakifanyiwa watumwa kwa kupitishwa miti na kamba shingoni au katika miguu.

Matamshi

gogoo

/gɔgɔ:/

Ufafanuzi msingi wa gogoo katika Kiswahili

: gogoo1gogoo2

gogoo2

nominoPlural magogoo

 • 1

Matamshi

gogoo

/gɔgɔ:/