Ufafanuzi wa goka katika Kiswahili

goka

nomino

  • 1

    nazi koroma inayoanza kuharibika; nazi iliyoanguka yenyewe kwa kuharibika.

Matamshi

goka

/gɔka/