Ufafanuzi wa goko katika Kiswahili

goko

nominoPlural magoko

  • 1

    mfupa wa mbele unaotoka kwenye kifundo cha mguu mpaka kwenye goti.

    muundi

Matamshi

goko

/gɔkɔ/