Ufafanuzi msingi wa goma katika Kiswahili

: goma1goma2goma3

goma1

kitenzi sielekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    kataa kufanya kazi mpaka masharti fulani yatimizwe; kataa kuendelea kufanya jambo.

    ‘Goma kazi’
    susa, gusu, huni, gahamu

Ufafanuzi msingi wa goma katika Kiswahili

: goma1goma2goma3

goma2

nominoPlural magoma, Plural goma

  • 1

    ngoma ya mwambao inayochezwa na wanaume, agh. waliovaa kanzu nyeupe na kuchukua bakora, huchezwa kwa kuzitupa bakora mbele na kuzirudisha mabegani na kwenda hatua fupifupi na kwa polepole sana.

Ufafanuzi msingi wa goma katika Kiswahili

: goma1goma2goma3

goma3

nominoPlural magoma, Plural goma

Matamshi

goma

/gɔma/