Ufafanuzi wa gong’otoa katika Kiswahili

gong’otoa

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~sha, ~lewa

  • 1

    (ndege au kuku) angua mayai.

Matamshi

gong’otoa

/gɔŋɔtɔwa/