Ufafanuzi wa gongana katika Kiswahili

gongana

kitenzi sielekezi

  • 1

    gusana kwa nguvu uso kwa uso kwa vitu vilivyo katika mwendo.

Matamshi

gongana

/gɔngana/