Ufafanuzi wa gongea katika Kiswahili

gongea

kitenzi elekezi

  • 1

    toa ishara kwa mwenzio katika mchezo wa karata.

    ashiria

Matamshi

gongea

/gɔngɛja/