Ufafanuzi msingi wa gongo katika Kiswahili

: gongo1gongo2gongo3

gongo1

nominoPlural magongo, Plural gongo

 • 1

  fimbo nene.

  fimbo

Matamshi

gongo

/gɔngɔ/

Ufafanuzi msingi wa gongo katika Kiswahili

: gongo1gongo2gongo3

gongo2

nominoPlural magongo, Plural gongo

 • 1

  kipande cha nguo.

Matamshi

gongo

/gɔngɔ/

Ufafanuzi msingi wa gongo katika Kiswahili

: gongo1gongo2gongo3

gongo3

nominoPlural magongo, Plural gongo

 • 1

  pombe kali sana inayotengenezwa kwa kukeneka maji ya k.v. matunda au mihogo.

Matamshi

gongo

/gɔngɔ/