Ufafanuzi msingi wa gongomea katika Kiswahili

: gongomea1gongomea2

gongomea1

kitenzi elekezi

 • 1

  pigilia kitu katika kitu kingine.

  ‘Gongomea msumari ukutani’
  kongomea

Matamshi

gongomea

/gɔngɔmɛja/

Ufafanuzi msingi wa gongomea katika Kiswahili

: gongomea1gongomea2

gongomea2

kitenzi elekezi

 • 1

  weka chini chuma chenye moto ili kipoe.

  poza, zima

Matamshi

gongomea

/gɔngɔmɛja/