Ufafanuzi wa goregore katika Kiswahili

goregore

nomino

  • 1

    ndege anayefanana na dudumizi au pugi.

Matamshi

goregore

/gɔrɛgɔrɛ/